Sunday, August 25, 2013







EVENT: SHEILA WEEDING PARTY


PLACE: CCM MKOA ARUSHA

COLOUR: HOTPINK, YELLOW, PURPLE & CREAM
MC: MSAFIRI REVOCATUS ANDREW

Mwonekano wa Bi harusi Sheila Vumbi (mwenye gauni jeupe) na Bwana Harusi Mohamed Hussein Dudu (mwenye shati jeupe)Wa kwanza kushoto ni mpambe wa bwana Harusi na wa kwanza kulia ni mpambe wa bi Harusi.
MC wa shughuli Revocatus Andrew akimimina kinywaji maalum kwa maharusi.


Baba mkwe wa Sheila Mzee Hussein Dudu akiwapongeza wanawe


Mama mkwe naye hakuwa nyuma kuwapongeza














Watoto walichanganywa changanywa na bi Harusi akaambiwa anyooshe mkono kumlisha mtoto keki atakayechangua huenda ndo ikawa uzazi wake wa pili.




Sheila akikabidhi keki kwa wakwe zake



Mohamed akikabidhi keki kwa wakwe zake




Maakuli time











Kila la kheri katika ndoa yenu Sheila na Mohamed




















No comments:

Post a Comment