Tuesday, February 12, 2013

KIWANDA CHA NYAMA SIMANJIRO KUNUFAISHA WAFUGAJI

Kiwanda cha Nyama (ORPUL) ambacho kipo chini ya kampuni ya OMASI kilichoanzishwa katika eneo la ROTIANA kijiji cha Naberera wilayani Simanjiro, huenda kikawa chachu ya maendeleo kwa wafugaji wa wilaya hiyo na maeneo jirani kwa wafugaji kunenepesha mifugo yao ili iweze kupata soko.


Ng'ombe wakiwa zero grazing, wakitayarishwa hadi muda muafaka utakapofika wa kuchinjwa.






Ndani ya kiwanda cha nyama cha ORPUL, kinapendeza kwa usafi wake na kuhakikisha kila kiungo kinawekwa sehemu yake.


Mpiga picha wa kampuni ya ORMAME Gideon John akichukua matukio mbalimbali.




Baadhi ya wafanyakazi wa ORPUL wakiwa kazini wakipaki nyama tayari kwenda kwa walaji.


Nyama zikiwa zimehifadhiwa kwenye contena lenye baridi kali zikisubiria kukatwa na kupakiwa tayari kwenda kwa walaji.

No comments:

Post a Comment