Maisha

HONGERA SAMWELI GABRIEL NA BI MAGATI ABDALLAH SALUM

Katika maisha mungu amemuumba Mwanamume lakini pia alimuumba msaidizi wake na si mtumishi wa ndani ambaye Mwanamke ili waishi pamoja na awapa maagizo kuongeza nchi.

Ndivyo ilivyotokea kwa Bwana Samwel Gabriel alipoamua kuachana na ukapera na kufunga pingu za maisha na Bi Magati Abdallah Salum  kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania usharika wa Bangata - Arumeru Magharibi na baadaye sherehe iliyofanyika nyumbani kwao na Samweli eneo la Bangata.


Kama kawaida Tarumbeta huwa hazikosekani kwenye sherehe kama hizi, hii ni bendi Tarumbeta kutoka Kimandolu, wakiongoza maharusi kuingia kanisani kwenye ibada ya ndoa.

Bwana Samwel Gabriel na Bi Magati Abdallah Salum wakiwa na nyuso za furaha mara baada ya kufunga pingu za maisha, hapa wanatoka kanisani na kuelekea nyumbani kwa ajili ya sherehe.

Sit down my wife...., bwana Gabriel akimwomba mkewe akae chini ili waendelee na sherehe.

Picha na Greyson Martin Orongai.

No comments:

Post a Comment