Saturday, September 22, 2012

SAFARI YETU KUTOKA SIMANJIRO - KAHAMA

Matukio katika picha katika safari yetu kutoka Simanjiro hadi Kahama 

Tarehe 22 September siku ya jumamosi, timu ya wadau wa habari na vipindi kutoka Redio ORS fm, ilianza safari yake kuelekea Karagwe, lakini njiani ilitulazimu kupumzika wilayani Kahama - Shinyanga na kupokelewa na wadau wenzetu wa Kahama, pamoja na wenzetu kutoka ORS waliotokea Karagwe waliokuwa wakirudi Arusha.




Picha Juu wadau wa ORS fm tulikuwana Kahama huku timu ya watu wanne wakiwa wanarejea kutoka Karagwe wakielekea Arusha huku timu ya watu watano tukielekea Karagwe. (hapa tukiwa kwa mwenyeji wetu kutoka Kahama fm)



No comments:

Post a Comment