Monday, July 29, 2013

BARUA KUTOKA KWA MTANZANIA ALIYEFUNGWA HONGKONG AKITAJA WAHUSIKA WATANZANIA WA DAWA ZA KULEVYA


Wakati wimbi la watanzania kukamatwa nje ya nchi kwa kukutwa na dawa za kulevya likizidi kuongezeka, Mtanzania mmoja ambaye amefungwa huko Hongkong kwa sakata hilo hilo la madawa ya kulevya ameandika waraka wa barua yake akitaja baadhi ya watu wakiwemo vigogo wa hapa nchini wanaojihusisha na dawa za kulevya.

Soma barua hiyo.




No comments:

Post a Comment