Saturday, September 22, 2012

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI MKOANI SINGIDA

Hali hii ndiyo niliyokutana nayo Singida mjini katika hitimisho la wiki ya nenda kwa usalama barabarani.



Msafara wa waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda, wakisubiri amri ya askari wa usalama barabarani aliyekuwa akiwaongoza (hayupo pichani)


Askari wa usalama barabarani barabarani akiwapanga vizuri waendesha pikipiki, tayari kwa ajili ya maandamano ya maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani.


Picha juu na chini - Wanachuo wa VETA Singida nao walikuwepo katika maadhimisho haya wakiwa wamebeba bango lenye kauli mbiu ya mwaka huu ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani inayosema "Pambana na ajali za barabarani kwa vitendo, zingatia sheria."



No comments:

Post a Comment